Advertisements

Friday, June 2, 2017

BENKI YA KCB TANZANIA YAENDELEA KUFANYA ZIARA KATIKA MIJI MIKUU NCHINI MAREKANI LEO NI COLUMBUS, OHIO

IMEISHATEMBELEA, DALLAS, HOUSTON, WASHINGTON, DC NA BOSTON
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akitoa huduma ya kibenki kwa mwanadispora mTanzania anayeishi Boston, Massachusetts nchini Marekani
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (watatu toka kushoto) akifuarahia jambo na waTanzania Boston alipokua akiwaelekeza jinsi ya kujaza fomu kwa ajili ya kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kulia) akiwaelekeza wadau wa Boston, Massachusetts jinsi ya kujaza fomu kwa ajili ya kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kulia) akimwelekeza mdau Baraka jinsi ya kujaza fomu wakati aalipotembelea Boston nchini Marekani kutoa huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (wanne toka kushoto) akiwaelekeza wadau wa Boston, Massachusetts jinsi ya kujaza fomu kwa ajili ya kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kulia) akimwelekeza Bwn. Abdul jinsi ya kujaza fomu siku alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, DC.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (aliyesimama shati jeupe) akiwaelekeza maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (aliyesimama shati jeupe) akiwaelekeza maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (watatu toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Kutoka kushoto ni Andrew Zoka, Kaimu Balozi dismas Assenga na kulia ni mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania na Canada Col Adroph Mutta.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe katika picha ya pamoja na Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akiwaelekeza wadau DMV jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (wapili kushoto) akiwaelekeza wadau DMV jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kulia) akitoa maelekezo kwa wadau DMV.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kwatatu toka kushoto akiweaelekeza jambo wadau DMVili nao waweze kunufaika na huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akimwelekeza mdau DMV jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akimwelekeza mdau DMV jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau Houston, Texas.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau Houston, Texas.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (wapili kulia) akitoamaelekezojinsi ya kujaza fomu kwa wadau Dallas, Texas.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau Dallas, Texas.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau Dallas, Texas.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kati) akimwelekeza mdau Dallas jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.
Meneja Mahusiano wa huduma za kibenki kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi Bi Shose Kombe (kushoto) akimwelekeza mdau Dallas jinsi ya kujaza fomu kusaidia kupata huduma za kibenki za KCB.

No comments: