Advertisements

Sunday, June 25, 2017

HONGERA AMAN MOSHI KWA KUKAMATA NONDOZ

 
Aman Moshi akipata ukodak moment baada ya kukamata nondoz aliposhereheka yeye na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki nyumbani kwake Bowie, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
Aman Moshi katika picha na mama yake mzazi.
Aman Moshi akipata ukodak moment na marafiki zake.
Aman Moshi katika picha ya pamojana Latifa.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: