Advertisements

Sunday, June 25, 2017

FARAJA ISINGO AKAMATA NONDO "DUAL MASTERS DEGREE"

Faraja Isingo akiingia ukumbini Hampton Inn College Park, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017 kujipongeza na kushereheka baada ya kukamata nondoz za Dual Masters Degree  za Masters of  Business Administration na Mastersof  Project Management. Picha na Vijimambo Blog naKwanza Production.
Faraja Isingo akiwa meza kuu.
Mchungaji amkitoa neno la shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha na kufanikisha Faraja Isingo kuhitimu Dual Masters Degree.
Mchungaji akifanya maombi kwa Faraja Isingo.
Faraja Isingo akiwa meza kuu.
Mshereheshai na mpambaji Dada Tuma akiwa kazini
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments: