Advertisements

Saturday, December 16, 2017

HEAD, INC - 2017 ANNUAL GALA NI LEO KAMA HUKUPATA MUDA KUPATA TIKETI ONLINE NO PROBLEM TIKETI ZA KUMWAGA MLANGONI KARIBU

HEAD, INC executives wakiwa na wageni wao kutoka miji mbali mbali hapa Marekani Swahili Restaurant, Beltsville, Maryland kutoka kushoto ni Alban Mkwawa kutoka Columbus, Ohio, Joha Nyang'anyi DMV,Ahmed Kufakunoga kutoka Michigan, Biwi Malima kutoka Massachusetts na Asha Nyang'anyi DMV
Picha ya pamoja

For Your Ticket Donation CLICK HERE
KAMA HUKUWAHI KUCHANGIA TKT MTANDAONI USIJALI TIKETI ZITAUZWA MLANGO LEO JUMAMOSI GALA ITAPENDEZA ZAIDI Shukrani mno kwa wale Wote walionunua tkt unakaribishwa kwenye GALA Dinner yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya manunuzi ya dawa na kupelekea Madaktari Tanzania. TUNATANGULIZA SHUKRANI 

anuani ni 16 Chestnut St
Gaithersburg, MD 20877
Usisahau kutakua na mnada vitu mbalimbali kutoka Bongo
Karibu sana

No comments: