Advertisements

Saturday, February 17, 2018

MBUNGE WA KIBAHA AWASIKILIZA WANANCHI WAKE KUTATUA KERO ZAO

Mbunge wa Kibaha mjini, Sylvester Koka, akimvisha kofia na Tisheti ya CCM, mwanachama mpya aliyejiunga na CCM baadaya kurudisha Kadi ya Chadema, Richard Muya, wakati wa mkutano wa hadhara wa mbunge huo uliokuwa maalumu kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika Stendi ya Maili Moja, Kibaha mkoa wa Pwani jana. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Robson Richard akikabidhiwa tisheti.....
Kadi za wanachama waliorudisha kadi za Chadema na kujiunga na CCM.
Mbunge Koka akipiga picha ya kumbukumbu na wanachama waliorudisha kadi za Chadema na kujiunga na CCM wakati wa mkutano huo jana.
Mbunge wa Kibaha Mjini, Sylvester Koka, akizungumza kuwahutubia wananchi wa Kibaha wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya viajana wakijiandaa kukabidhi kadi zao
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha mjini, Maulid Bundala, akiwatangaza wanachama wapya waliorudisha kadi na kujiunga na CCM
Hapa ilikuwa ni furaha mwanzo mwisho baada ya vijana kadhaa kurudisha kadi za Chadema katika mkutano huo.
Picha ya pamoja na wanachama waliorudisha fomu
Christopher Njau, akieleza kero zake kwa Mbunge....
Kanogoleke, akieleza kero zake 
Mohamed Likwai, akitoa kero zake
Neema Andrew, akitoa kero zake za kutounganishiwa maji kwa kipindi cha mwaka mzima

No comments: