Advertisements

Tuesday, June 26, 2018

HUDUMA YA IBADA YA UKUMBUSHO - JULAI 1, 2018

                Mama Maria Joakim Mabuga                            Bwana Dunstan Kaihula

Kwa niaba ya Tumaini Swahili Chapel - Chicago, unakukaribishwa katika ibada ya ukumbusho wa mamake mpendwa Alphonce Bigirwa - Mama Maria Joakim Mabuga. Marehemu alifariki mwezi Mei nyumbani Tanzania. Pia wiki hiyo hiyo babake mdogo Alphonce, Bwana Dunstan Kaihula alifariki katika ajali wakati akitoka kwenye mazishi ya shemeji yake. 

 Ibada ya kuwaenzi wote wawili itafanyika pale Augustana Lutheran Church – Hyde Park, Chicago Jumapili Julai 1, 2018. Anuani ya kanisa ni

 Askofu Elias Chessa kutoka Tanzania atahubiri. Tafadhali usikose kufika, pia mwalike jamaa, rafiki na jirani tuifariji jamaa na jumuia. Mara tu bada ya ibada tutajumuika kwenye Parish Hall kwa viburudisho.

No comments: