Lukwesa Morin ambaye ndiyo Miss Zambia aliibuka mshindi kwenye shindano ya mamiss linaloratibiwa kila mwaka na African Union na kubeba jina la African Union. Pageant Shindano hiloo lilifanyika December 7, 2018 katika hotel ya Hyatt Grand iliyopo Washington, DC na Tanzania iliwakilishwa na Neema Sarah Ruth Olory ambaye alikua mshindi wa tano.
Miss Tanzania Neema Sarah Ruth Olory akijieleza kwenye kinyang'anyiro cha Miss African Union Pageant kichofanyika siku ya December 7, 2018 katika hotel ya Hyatts Garnd na yeye kuchukua nafasi namba 5 huku akiwa amevalishwa na misy Temeke wa Kwetu Fashion.
Balozi wa zamani wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa Tanzania kwenye shindan hilo Neema Sarah Ruth Olory
Missy Temeke akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mulamula Balozi wa zamani katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Missy Temeke akipata picha na baadhi ya Mabalozi wa nchi za Afrika waliohudhuria shindano hilo la Miss African Union Pageant.
No comments:
Post a Comment