Advertisements

Tuesday, December 11, 2018

MKURABITA Yawajengea Uwezo Wajasiriamali 1000 Singida ili Waweze Kurasimisha Biashara Zao

Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri akizungumzia faida za kurasimisha Biashara kwa wajasiriamali wa mjini Singida wakati akifungua mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini humo (hawapo pichani) yaliyolenga kuwajengea uwezo ili warasimishe Biashara zao, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kwa kushirikina na Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida Alhaji Gwae Mbua akisisitiza jambo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini Singida (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kufungua mafunzo kwa wajasiriamali hao mjini humo mapema Novemba 10, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri na Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Urasimishaji kutoka MKURABITA Bw. Japhet Werema.
Sehemu ya Washiriki wa Mafunzo yakuwajengea uwezo wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini Singida wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri wakati wa hafla yakufungua mafunzo hayo mjini humo Novemba 10, 2018.
Kaimu Mkurugenzi wa Urasimishaji kutoka MKURABITA Bw. Japhet Werema (katikati) akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri (kulia) mara baada ya hafla ya kufungua mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini humo yaliyolenga kuwajengea uwezo ili warasimishe Biashara zao, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kwa kushirikina na Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Meya ya Halmashauri ya Manispaa ya Singida Alhaji Gwae Mbua (kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Mwenge ya Mjini Singida wakati wa hafla ya kufungua mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini humo yaliyolenga kuwajengea uwezo ili warasimishe Biashara zao, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kwa kushirikina na Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri (katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na sehemu ya washiriki na watoa mada wa mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini humo yaliyolenga kuwajengea uwezo ili warasimishe Biashara zao, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kwa kushirikina na Halmashauri ya Manispaa ya Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Bw. Pascas Muragiri (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na sehemu ya watoa mada katika mafunzo kwa wajasiriamali zaidi ya 1000 wa mjini humo yaliyolenga kuwajengea uwezo ili warasimishe Biashara zao, Mafunzo hayo yanaendeshwa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) kwa kushirikina na Halmashauri ya Manispaa ya Singida. 




(Picha zote na MAELEZO- Singida)

No comments: