Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palmagamba Kabudi (mwenye shati jeupe) akiangalia moja ya mipaka katika kiwanja cha kujenga jengo la Wizara hiyo eneo la Ihumwa Mkoani Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. sifuni Mchome na aliyepo katikati ni fundi ujenzi.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palmagamba Kabudi akiangalia ramani ya ujenzi wa Jengo la Wizara katiika eneo la Ihumwa Mkoani Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palmagamba Kabudi akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wakati alipotembelea eneo la kiwanja cha Wizara Ihumwa.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palmagamba Kabudi akipanda excavator ili kuishuhudia namna linavyofanya kazi wakati akikagua eneo la kiwanja linapojengwa jengo la Wizara ya Katiba na Sheria Mkoani Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palmagamba Kabudi akijadiliana jambo na Mkandarasi na viongozi wa Wizara wakati akikagua eneo la ujenzi wa jengo la Wizara hiyo.
No comments:
Post a Comment