Advertisements

Friday, February 15, 2019

Ziara ya Kaimu Balozi wa Marekani mkoani Mwanza

Kaimu Balozi wa Marekani Dkt. Inmi Patterson akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw. John Mongella wakati Dkt. Patterson alipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni. Dkt. Patterson yupo katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kujionea miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na Serikali ya Marekani. (Picha: Ubalozi na Ubalozi wa Marekani)
aimu Balozi wa Marekani Dkt. Inmi Patterson (aliyenyanyua mkono) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini Tanzania (Union of Tanzania Press Clubs Tanzania - UTPC), Bw. Abubakar Karsan (mwenye Tai) wakati Dkt. Patterson alipotembelea ofisi hizo hivi karibuni. Dkt. Patterson yupo katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kujionea miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na Serikali ya Marekani. (Picha: Ubalozi na Ubalozi wa Marekani)

No comments: