Advertisements

Sunday, September 1, 2019

IBADA YA MISA YA KUMUAGA MPENDWA MAMA YETU CECILIA KORASSA ROCKVILLE, MARYLAND.

Q26A3725.jpg
Picha ya mama  enzi ya uhai wake ikiwa kwenye meza wakati wa Ibada ya misa ya kumuaga mpendwa wetu mama Cecilia Korassa siku ya Jumamosi Aug 31, 2019 katika kanisa la Kilutheri la Swahili.
Q26A3615.jpg
Familia ya marehemu ikiongozwa na mtoto wake Jacqueline na mumewe Andrew Tandau ikifuatilia ibada ya misa ya mpendwa mama yao.
Q26A3584.jpg
Mchungaji John Mbatta akiongoza ibada ya misa ya kumuaga mpendwa mama yetu Cecilia Korassa.
Q26A3665.jpg
Wachungaji na mapadre wakiombea familia.
Q26A3604.jpg
Jacqueline akishindwa kujizuia akijifuta machozi wakati wa ibada ya mpendwa mama yetu.
Q26A3552.jpg
Familia ikifuatilia ibada ya misa ya kumuaga mpendwa mama yetu.
Q26A3674.jpg
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
Picha na Iska Jojo Studio

Q26A3559.jpgQ26A3555.jpgQ26A3671.jpgQ26A3631.jpgQ26A3636.jpgQ26A3640.jpgQ26A3698.jpgQ26A3701.jpgQ26A3580.jpgQ26A3756.jpgQ26A3703.jpgQ26A3704.jpgQ26A3732.jpgQ26A3734.jpgQ26A3702.jpgQ26A3736.jpgQ26A3712.jpgQ26A3721.jpgQ26A3658.jpgQ26A3707.jpg
Kwa picha zaidi BOFY HAPA

No comments: