ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 14, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, WIKI YA VIJANA NA KUMBUKIZI YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI LINDI

m16: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019
Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali
wakati wa sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo umatatu Oktoba 14, 2019
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ama Konde Boy kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019
Msanii wa Kizazi Kipya Kala Jeremiah akitumbuiza kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019
Vijana wa Halaiki katika sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019

No comments: