ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 5, 2020

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO KATI YA MOROGORO NA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eno la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dar es salaam, Machi 4, 2020. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo llimesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita kwenye msururu wa magari yaliyokwama baada ya daraja la Kiyegeya kusombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole baadhi ya madreva na abiria waliokwama baada ya daraja la Kiyegeya kusombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020.
Eneo la daraja la Kiyegeya ambalo lilisombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Morogoro na Dodoma , ukarabati wake unaendelea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: