Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment