Advertisements

Friday, April 9, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: