Advertisements

Monday, April 12, 2021

MUFTI AKAGUA UKARABATI WA MSIKITI DODOMA

Akikagua maendeleo ya ukarabati wa msikiti Masjid Gadaffi hapa Dodoma Mheshimiwa Mufti wa Tanzania akiongozana na viongozi, Mashekhe na wana kamati wa Ukarabati wa ujenzi msikitini hapo kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Mufti alifurahishwa na kasi ya ukarabati na maendeleo ya msikiti huo
Mheshimiwa Mufti wa Tanzania akiongozana na viongozi, Mashekhe na wana kamati wa Ukarabati wa ujenzi msikitini hapo kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Mufti alifurahishwa na kasi ya ukarabati na maendeleo ya msikiti huo
Akikagua maendeleo ya ukarabati wa msikiti Masjid Gadaffi hapa Dodoma 

No comments: