Advertisements

Saturday, April 17, 2021

PITA PITA YA VIJIMAMBO BLOG MJINI CEDAR RAPIDS, IOWA

Bwn. Kambira Mapesa ambaye alikua kiongozi wa kikundi cha nyimbo za injili la kanisa la Adventist Magomeni nchini Tanzania miaka ya nyuma, akiwa ameingia kwenye nyumba ambayo waliokuwa wanafunzi wake aliokua akiwafundisha kwaya wakimlaki kwa furaha baada ya wanafunzi hao ambao kwa sasa wanaishi nchini Marekani na wamekuja mjini Cedar Rapids kwa ajili ya kujumuika nae kwenye ndoa na sherehe ya harusi yake itakayofanyika mjini humo.
Wanakwaya wa kikundi cha Tanzania Advenist in the USA TAUS) wakimlaki bwana harusi mtarajiwa aliyekua kiongozi wa kundi lao la kwaya za nyimbo za injili tangia Tanzania.
Ni Furaha ya kumlaki bwana harusi mtarajiwa.
Furaha ya kumlaki bwana harusi
Kikundi cha kwaya ya TAUS kikifanya mazoezi ya pamoja kujiandaa na ibada ya misa ya harusi ya Bwn. Kambira Mapesa itakayofanyika mjini Cedar Rapids, Iowa.
Kikundi cha Kwaya za nyimbo za injili kikiendele na mazoezi huku wengine wakijpatia mlo wa jioni. 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mazoezi ya kwaya yakiendelea.
Mazoezi yakiendelea
Kazi na dawa kundi la TAUS wakiendelea na mazoezi huku wengine wakipata mulo wa jioni
Mazpezi yakiendelea.
Kikundi cha TAUS wakishauriana jambo wakati wakifanya mazoezi ya nyimbo za kikundi chao ambao kila mmoja wao wametoka majimbo tofauti kuja maalum kusherehekea harusi ya aliyekua mwalimu wao wa kwaya nchini Tanzania.
Mmoja ya mwimbaji akipata ukodak wa upendeleo.
Mazoezi yakiendelea
Mazoezi yakiendelea hapa ukitafutwa wimbo kwenye simu
Wana kwaya wakiimba kwa hisia nyimbo za injili za kumtukuza Mungu.
Mazoezi yakiendelea
Picha zaote na Vijimambo Blog.

No comments: