Advertisements

Sunday, September 19, 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AONDOKA NCHINI KUELEKEA MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo tarehe 18 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU

No comments: