Wapili toka kushoto ni msanii wa kizazi kipya Roma Mkatoliki akiwa na mchekeshaji Beneficial (watatu toka kushoto) lwa pamoja wakipata picha na wadau waliokua nao siku ya Old School Reunion iliyofanyika Jumamos June 17, 2023 Bowie, Maryland nchini Marekni. Picha na Vijiambo Blog.
Dj Dennis akipata ukodak moment zulia jekundu.
NdagaMwakabuta toka Minnesota akipaya picha katika zulia jekundu.
Catherine Shirima na Ndaga Mwakabuta katika picha ya pamoja
Catherine Shirima na Dj Dennis katika picha ya pamoja.
Amina Ibuni akiwa katika zulia jekundu.
4 comments:
It was a wonderful event. Tume enjoy sana. Thanks for organizing Luke
DMV tulitisha .tulikula raha ,Asante kaka Lucas
Hongerani sana waandaaji
It was a wonderful event plz organize again next year
Post a Comment