Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiimba Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
Spika Mstaafu Mhe. Job Ndugai akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
No comments:
Post a Comment