Advertisements

Sunday, March 24, 2024

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UGUNJA KATIKA FUTARI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti na Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani kwao, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais ) na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,(hayupo pichani) na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Mama Asha Suleiman,baada ya kumalizika kwa futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi wa makundi maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Unguja

No comments: