Advertisements

Thursday, June 6, 2024

RAIS SAMIA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA DIASPORA KUWEKEZA NYUMBANI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na watanzia waishio na kufanya shughuli zao nchini Korea na kufurahishwa na juhudi zao za kuendelea kuwekeza nyumbani.

Rais amewahakikishia kuwa “tutaendelea kufanya kazi ya kuweka mazingira bora ya wao kufanya hivyo, ili kutimiza nia yao ya kuchangia kwenye maendeleo ya nchi yetu.”

Mhe. Dkt. Samia amefanya kikao hicho baada ya mikutano mbalimbali ya kazi katika ziara yake nchini Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenyeMkutano uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024. (PICHA ZOTE NA IKULU).

No comments: