Advertisements

Thursday, June 13, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA BRANDI MPYA YA THE MORA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Brandi mpya ya The Mora uliofanyika 12-6-2024 Zanzibar na (kushoto kwa Mkuu wa Mkoa) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji wa Mradi wa Hoteli ya The Mora Sebastian Ebel,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Brandi mpya ya The Mora uliofanyika 12-6-2024 Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar 12-6-2024 katika Hoteli The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid uzinduzi huo uliyofanyika 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na (kushoto) Muwekezaji wa Mradi huo Bw. Sebastian Ebel na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Mhe.Shariff Ali Shariff wakipiga makofi baada ya kuzindua kwa Brandi Mpya ya The Mora uliyofanyika leo 12-6-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Brandi Mpya ya The Mora, uzinduzi huo uliyofanyika leo Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa Rais) Muwekezaji wa Mradi huo Bw. Sebastian Ebel na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, uzinduzi huo uliyofanyika leo Zanzibar 12-6-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Muwekezaji Bwa.Sebastian Ebel baada ya kuzindua Bradi Mpya ya The Mora Uzinduzi huo uliyofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar katika hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Muwekezaji wa Bw.Sebastian Ebel (kulia kwa Rais) wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuhutubia na kuzindua brandi mpya ya The Mora, katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024
WASANII wa Kikundi cha Uwaradi Zanzibar wakitowa burudani katika hafla ya Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora, iliyozinduliwa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora uzinduzi huo uliyofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024

No comments: