ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 16, 2010

Maandamano kupinga ushoga yafutwa, UGANDA


 
picha ni Bobby akiwa kwenye hangout za mashoga mjini Kampala
Vita dhidi ya zimwi linalowakera wananchi wa Uganda la wapenzi wa jinsia moja vimepata pigo baada ya maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kufutiliwa mbali.
Maandamano hayo yaliyopangwa kufanywa jijini Kampala na kuhusisha zaidi ya watu milioni moja, yalifutwa bila sababu kutolewa.
Sasa walioandaa maandamano hayo wamepigwa na butwaa wasijue ni nguvu za kisiasa au shinikizo kutoka nje ya nchi zilizosababisha kuvunjwa kwa maandamano yao.

No comments: