Msaada wa Mawazo!
Habari ndugu!
Naimani mnaendelea vyema na maisha hapo Roma,mimi Naishi Tanzania ,mkoani kilimanjaro,nina marafiki hapo Parma tumekuwa nao Mombasa miaka ya 90.ila kwa sasa wanaishi huko na ni raia wa italy.walinipa mwaliko tangu miaka ya 1998 kuja huko ila nilikuwa sipo tayari ,sababu kuna mambo nilikuwa sijayatimiza hapa nyumban.
1.nilipenda kabla sijatoka nyumban niwe nina nyumba yangu tayari nimejenga,
2.nilipenda niwachie wadogo zangu msingi mzuri wa elimu coz wazazi wetu
walikufa miaka mingi.kwa sasa nipo tayari kuja parma na wapo kwenye proces ya makaratasi..leo nimetembelea tovuti yenu kuomba msaada wa mawazo.wao wana kampun ya ujenzi hapo parma,wanaandaa barua kuwa kampuni yao ndio inaniita kikazi,yaani kufanya kazi kwenye kampuni yao,pia wamejicomit kuhusu workpermit watanitafutia.je kikwazo gani nitapa ubalozini hapa Dar?je ni mambo gani yaani document gani muhimu natakiwa niwe nazo mkononi wakati nakwenda embassy hapo dar
je maisha najua kila mahali ni magumu but kupambana na kutokata tamaa ndio muhimu.je maisha kwa ujumla vipi Italy hasa kikazi!
Naimani mtanijibu kwa kina na kunipa mawaiza mazuri
wenu Kimath
No comments:
Post a Comment