ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 11, 2010

Image
Binti, Matinde Marwa ambaye aliyekatisha masomo yake baada ya kupewa ujauzito akiwa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Rebu katika wilaya ya Tarime mkoani Mara akimwogesha mtoto wake kama alivyokutwa. Binti huyu anayeishi na mama yake, Gati Marwa ambaye pia ni mjane anaishi katika mazingira magumu kutokana na kutelekezwa na aliyempa ujauzito. (Picha na Shadrack Sagati)

No comments: