
GARI la Serikali aina ya Nissani Patrol lenye namba za usajili STK 4970, jana jioni lilinaswa na mpiga picha wetu eneo la Msamvu mkoani Morogoro likiwa na tenga la kuku juu ya tairi la akiba likielekea jijini Dar es salaam. Kuku hao walikuwa wakirukaruka huku wakipiga kelele kutokana na kupulizwa na upepe mkali uliosababishwa na mwendo kasi wa gari hilo.
Picha:Dunstan Shekidele
No comments:
Post a Comment