ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 26, 2010

Image
Lori lililobeba kokoto likiwa limeparamia makazi ya watu katika eneo la Kigogo, barabara ya Kawawa baada ya kuacha njia, Dar es Salaam, jana alfajiri. (Picha kwa hisani ya HabariLeo na Yusuf Badi).

No comments: