![]() |
| Mtoto Alphonsi Martin mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu ambaye anatunzwa katika hospitali ya Amana, Dar es Salaam baada ya mama yake kufa Juni 18. Mama huyo alifika hospitalini hapo Juni16 akitokea Kliniki ya Jeshi, Ukonga alikokwenda kumpima uzito mtoto huyu ambapo alianguka ghafla na kupoteza fahamu. (Picha kwa hisani ya HabariLeo na Yusuf Badi |

1 comment:
JK anakula misele tu yakuzunguka Dunia
Post a Comment