ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 17, 2011

kwaya

ndugu wapendwa nawasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo,
kama mnavyojua tutakuwa na misa jumapili(3/20/11) ya kiswahili katika parish ya st camillus silver spring,tutakuwa na mazoezi ya kwaya saa saba na nusu mchana pale fr francis room nyuma ya kanisa,karibu ushiriki nasi katika kuimba kwaya kwa lugha yetu nzuri ya kiswahili.
karibu-karibuni sana
kamati ya maandalizi

No comments: