ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 18, 2011

Mayrose TALK SHOW yafana,Millenium Club

Mayrose akijiandaa kurekodi kipindi cha TV kitakachorushwa na Star TV,kinachozungumzia Democrasia kwenye kipindi chake cha Mayrose TALK SHOW
kushoto ni Hamza Mwamoyo akiwa na Kessy Janabi hii ilikua kabla hakijaanza kipindi
Prof Boas(shoto) akimueleza Jambo Salia hii pia ilikua ni kabla ya kipindi kuanza kurekodiwa
Wadau waliofika kuzungumzia Democrasi.
Kwa picha zaidi Bofya Read More




No comments: