ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 5, 2011

Mechi ya Bafana Bafana sasa kuchezwa May 28,2011

iol spt may5 Bafana
Timu ya Bafana Bafana ambayo itacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa na Taifa Stars May 28,2011 badala May 14,2011 ambayo ndio iliyokua tarehe ya awali na mechi hii inayosubiliwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania,mechi itachezewa uwanja wa Taifa,

No comments: