ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 19, 2011

Neema's Baby Shower Cherry Hill Rd,Maryland

Juu na chini ni mampambo yaliyopambwa na mpambaji maarufu Carol anaeishi,DMV
Neema(kulia) akiwa na rafiki yake pamoja na mwanae
Neema akiwa na rafiki yake
Wageni waalikwa wakipata kanywaji
wageni wakipata menyu
Juu na chini ni wageni waalikwa
Tuma(kulia) ambae ndie aliyekua MC akimkaribisha Neema ukumbini(hayuko pichani) huku Benedetta(shoto) akishangilia kwa furaha
Kama watoto mapacha wasio achana,kasoro  nguo ndio hawavai sare sare,Mercy(shoto) na Nesha na karibu kila kitu hufanya pamoja picha juu wakipata U-kodak pamoja na huku wameshika kanywaji,picha chini wakipata U-kodak kwa mapozi
Wachoma nyama maarufu Saria na Vince wakifanya vitu vyao
Juu na chini ni Wageni waalikwa wakitabaruku nje huku wakiongea mawili matatu na kanywaji kaipanda taratibu
Hapa Mercy kaamua kupata U-kodak wa peke yake,Chini ni Mercy akiwa na mdogo wake Carol
mgeni mwalikwa nae katika pozi la picha Chini ni wadau wakitelemuka  na muziki

No comments: