
Cynthia akimchum na kumlisha keki ya siku yake ya kuzaliwa baba mwenye nyumba wake
Zainab akiwa na Richard
Cynthia,Richard na Seif wakipata Ukodak moment kwenye birthday ya Cynthia iliyofanyika Dar,Tza
Wadau wa Ughaibuni nao walokuwepo ndani ya nyumba
wadau wakipata ukodak wa kumbukumbu na Birthday Girl
shoto ni 50 cents wa Bongo(Rama) nae ndani ya nyumba hapa akiwa na Mike
Wakuu wa mikoa Said(DC) na Akbar(MA) wakipata ukodak wa pamoja
Ndio manaake wadu wakisema na sisi yote ni Ukodak Moment







No comments:
Post a Comment