ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 4, 2011

Dada ya Mpwa

Huyu ndie dada yangu ambae ndie mama yake Flavian Marwa ambae pia alishawahi kuwa mwalimu wa  Dotto Mallongo,karibu sana Unyamwezini.

4 comments:

Anonymous said...

Jamani kuna maoni mengine tuwe tunajiheshimu. Kamtambulisha dada yake jamani. lisije likatokea la kutokea halafu akihitaji msaada mnaanza kusema oooohh mbona hatujawahi kutambulishwa kwake au mbona hatujui kama Mpwa ana dada! Acheni mbaya zaidi kasema dada alikuwa mwalimu kule nyumbani na alishawahi kumfundisha Dotto Mallongo mmoja wa WATZ mwenzetu hapa. Heshima kitu cha bure. Naongea na mtoa maoni wa kwanza.

Anonymous said...

kama sijakosea ww uliyeandika hivyo utakuwa mtu mzima, karatasi huna, stress kibao ndio maana umeamua kuja kuziondoa hapa.

Anonymous said...

we Anonymous wa kwanza 8:05 pm,ustaarabu sio lazima uwende shule,wewe umefilisika kiakili,ni mawivu tu na siajabu umeshindwa kulipa Rent unajaribu kumalizia stress zako kwa mama wa wenzako,na siajabu huna mama,inaonyesha mama yako alikutupa jalalani na ukaokotwa na kulelewa na umbwa ndio maana huwezi kuheshimu mama za wenzako waliowapa mapenzi watoto wao na watoto wao kusema asante kwa kuwaleta Marekani.

Anonymous said...

Duh, yaani huyo amesoma na neno alilolijua na kupata digrii ni hilo tu. Tafadhali kama una ugomvi na DJ Luke mfuate kama wewe kweli ni binadamu mwambie tatizo kati yenu halafu mkisikilizana mkaelewana itakuwa vyema, lakini siyo kumtukania wanafamilia yake huwajui hawakujui. Halafu utakuta mtu huyo huyo aliyetukana akipatwa na shida anampigia Luka na kumuomba amtangazie ili WATZ wakamfariji au kumsaidia. Acha hizo kama hujaenda shule basi siyo kosa la Luka au unataka Dada yake na Luka akufundishe? Staarabika MTZ wewe kama huna la kufanya piga kazi acha kutukana ndugu za watu.