ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 11, 2011

DALA DALA MBEYA ZAPADISHA NAULI KITUO HADI KITUO SH 1000 KISA MAFUTA HAKUNA

 Dala dala za Mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mbeya
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta

Picha na-Mbeya yetu Blog

1 comment:

Unknown said...

duu,, kazi kweli ipo....pole zao wasonauwezo wamuongezeko wa nauli hizo!!