ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 8, 2011

DICOTA CONVENTION STEERING COMMITTEE YAKUTANA DOWNTOWN SILVER SPRING

Kutoka shoto ni Santa,Didi Vava na Saria walipokutana kama Local Committee kwa mazungumuzo ya matayarisho ya Miaka 50 ya sherehe za UHURU zitakazoenda sambamba na mkutano wa DICOTA  utakaofanyikia MARRIOTT HOTEL DULLES AIRPORT,Sep 22-25,2011
Pichani ni Local Committee wakiwa na mwenyekiti wao Faraja Isingo(kati),Asha Nyang'anyi (shoto)katibu wa muda na Jonson Ejalu


5 comments:

Anonymous said...

KAKA LUKE MIMI NINASWALI..HII LOCAL COMMITTEE YA DICOTA,KINASALIA,JOHSON,SANTA NA WENZIWE..WANAMPRESENTI NANI HAPA DC?..JE NANI ALIWACHAGUA KUTUPRESENT?....MAANA WATU WANAJIPA HIVYO VYEO MAANA KAMATI KAMA KAMATI HAWACHANGII WWAO NI BURE SASA TUJUE NANI ALIWAPA KINA SALIA UJUMBE WAKAMATI...MIMI MKEREKETWA USIIBANIE HII

VIJIMAMBO said...

kAKA LUKE HAPA,SWALI LAKO ZURI SANA,HAWA LOCAL COMMITEE NIKIWEMO NA MIMI MWENYEWE TULIPENDEKEZWA NA DICOTA NGAZI ZA JUU,HATA WEWE JINA LAKO WANGELIJUA HUKO JUU UNGEPENDEKEZWA NA KAZI TUNAYOFANYA NI KUHAKIKISHA MIPANGO YOTE INAFANYIKA KAMA ILIVYOPANGWA KWA UKARIBU,KWA MAANA KWAMBA MTU YEYOTE ANAWEZA KUWA LOCAL COMMITTEE KAZI HII HAINA MALIPO NI KUJITOLEA NA WOTE TUNALIPIA KUINGIA KWENYE MKUTANO HUU.

MWAKA JANA NILILIPIA JAPO NILIKUA DJ KWENYE PART YA MKUTANO HUU ILIYOFANYIKIA MINNESOTA.NIPIGIE SIMU MUDA WOTE KAMA HAUTAKUA UMERIDHIKA NA MAJIBU NA KAMA UNA MASWALI MENGINE,ASANTE

Anonymous said...

KAKA SWALI HILIO LINAULIZWA NA WATU WENGI TU HAPA MJINI ILA HAWAJITOKEZI,HAO WATU WALIPENDEKEZWA NA NGAZI ZA JUU?HAO NGAZI ZA JUU WANAWAPENDEKEZA KINA SARIA?JOHNSON,SANTA?INAMAANA HAWA WATU NDO WANAJULIKANA NGAZI ZA JUU WATU WENGINE HAPO KWENYE PICHA HATUJA WAHI WAONA MAENEO YETU YAKAWAIDA HATA KWENYE MIKUTANO LAKINI NGAZI ZA JUU WNAWAJUA KIASI CHA KUWACHAGUA WAO WATURATIBIE MIPANGO YA DAICOTA?...KIUFUPI SWALA HILI LINAWASUMBUA WATU KWANI INAONEKANA KAMA VILE KUNA KIITU AMBACHO KINAENDELEA MAANA HAT GHARAMA ZENYEWE TU KUUUBWA MNO UKILINGANISHA NA MAFANIKIO AMBAYO WATU WANAFIKIRI WATAYAPATA KUPITIA DICOTA....AHSNTE KWA JIBU LAKO INGAWA NDO LIMELETA UTATA ZAIDI !MAANA NGAZI ZA JUU WANAWACHAGUA WATU HAPA MJINI KURPRESENT UANDAAJI IWEJE HAO WATU AMBAO WENGI WAO HAWA JI ASSOCIATES BNA WATU WAKAWAIDA SANA ETI WAO NDO WANAJULIKANA NGAZI ZA JUU...HAYA NI MAONI YANGU LAKINI YANAWAKIRISHA WENGI MTAANI.

Anonymous said...

Sawa Mwana-Committee hapo juu hata mimi ni mmoja wa wanacommittee. Bado tunahitaji wazalendo wa kujitolea kufanikisha sherehe hii ya kihistoria. Mimi ningeomba tuwe positive badala ya kuanza kukosoa jaribuni kuuliza ni vipi na wewe utajumuika. Kama mwanakamati mwenzangu alivyoeleza huu ni uhuru wa Watanzania na kila mtanzania yupo huru kushiriki 100% kufanikisha sherehe hizi, local kamati hii inawasaidia uongozi wa juu wa DICOTA kutayarisha sherehe hizi hapa DC, kumbukeni "fimbo ya mbali haiui nyoka". Wakitaka watu wakaangalie hoteli au masuala yote yanayohusu venue, na shughuli nyingine ni rahisi kwa wao kutupigia simu na tukafuatilia mambo yote kwa ukaribu. Wasiliana nasi na tutashukuru kujumuika nawe, na sisi wote tunachangia gharama hizi kama watanzania wengine wote. MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Anonymous said...

Sasa wewe mwana committee uliye msaport Luke mbona umejiweka anonymous,kama wewe uko kwenye kamati mbona hutaki watu wakujue au hauna jina,ndo maana watu wanajiuliza ili hii issue ifanikiwe inatakiwa iwe ya huwazi sio yakuficha...wapo watu kwenye hiyo kamati ambao sikuzote huwa wanakuwa mstari wambele kuikashfu uongozi wazamani hapa dc lakini sasa hivi wamo kamatini kimya je wamewekwa ili wanyamaze au..Huo uongozi wajuu uliwajuwaje?..kaka Luka usiibanie maana haya sio malumbano bali tunajaribu kuijenga watu hapa dc wameisha umwa na nyoka before jwa hiyo mambo yakiwa shade ndo hivyo watu watakula kona!