
Jahazi Modern Taarab yathibitisha kushiriki katika sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara Washington DC ambazo zitafanyika Marriott Washington Dulles Airport kuanzia Septemba 22-25,2011. Vile vile Tanzania Mitindo House chini ya Bi Khadija Mwanamboka nao watapamba sherehe hizo kwa kufanya Onyesho la Mavazi Maalum.

Kiongozi wa Jahazi Modern Taarab King Mzee Yusuf akimmwagia mashairi mwanadada ambaye anamwaga mauno stegini kwenye ukumbi wa Dar West TABATA.
No comments:
Post a Comment