ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 19, 2011

MAENDELEO YA MSIBA WA SABASTIAN,DC

HARAMBEE JUMAMOSI AUG 20,2011

TUJUMUIKE PAMOJA WANA DMV NA WATANZANIA WA STATE ZA JIRANI KATIKA HARAMBEE YA KUJARIBU KUCHANGISHA PESA ZA FUNERAL HOME NA MAZISHI YA MUME WAKE MPENZI,BARTLET KAMNA,KAKA NA MTANZANIA MWENZETU MPENDWA,SIKU YA JUMAMOSI SAA 11JIONI(5PM) NYUMBANI KWA MAREHEMU.

KAMA UNAKITU CHOCHOTE UNAFIKIRI KITASAIDIA KATIKA KUFANIKISHA ZOEZI HILI TAFADHALI TUNAOMBA UJE NACHO MSIBA HUU NI WETU SOTE NA LENGO NI KUFANIKISHA NA KUMUWEZESHA NDUGU YETU MPENDWA AKAPUMZIKE KWA AMANI KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE.

ADDRESS YA HARAMBEE NI

5310 62nd AVENUE,
RIVERDALE,MD,20737

PIA UNAWEZA TUMA RAMBIRAMBI ZAKO KUPITIA MKE WA MAREHEMU BARTLET KAMNA . ACCOUNT NO. 446023179268: Routing # 052001633 Bank of America.

KWA MAELEZO NA MAELEKEZO,
SIMU 301 547 3841

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI,AMINA.

No comments: