kushoto Freddy Macha Na Frank kutoka Urban Pulse
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Freddy Macha walipata fursa ya kupitia mji wa Tottenham uliopo katika jiji la london ili kujionea kwa macho hali ilivyo kwa sasa. Program hii imerekodiwa kwa kutumia Simu ya mkononi,
Asanteni.
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment