ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 8, 2011

Rais Jakaya Kikwete akiagana na baadhi ya Masista watawa wa Kanisa Katoliki walioshiriki katika futari ambayo Rais aliwaalika viongozi wa dini mbalimbali, Ikulu ya Dar es Salaam(Picha na Freddy Maro)

1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli anayetaka kuanzisha ugomvi wa dini nchini wetu hana akili na akijulikana adhibitiwe haraka sana. Hii kitu Rais anafanya inanipa faraja sana moyoni.