ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 18, 2011

VACATION CANADA

Mkuu wa mkoa wa DC,Sheh Saleh,akituonyesha Vacation yake ya Canada
Hapa mkuu wa mkoa DC,hayupo pichani akipiga picha ya kumbu kumbu familia yake Niagara Falls,Canada
Niagara Falls inayoonekana kwa mbali
Kwa picha zaidi Bofya Read More

Hapa ni sehemu ya kupandia Boat kwa matembezi ya Niagara Falls

1 comment:

Anonymous said...

safi sana kwa familia inapendeza, na wengine wenye picha zinazotoa changamoto wazilete vijimambo, familia yangu pia imeshapata mshawasha wa kwenda vacation, hasa niagara