Advertisements

Tuesday, August 16, 2011

WATANZANIA DMV WAJUMUIKAA PAMOJA KWENYE MSIBA WA SABASTIAN THOMAS


 kulia ni Bartlet Kamna(mke wa marehemu) Akiwa pamoja na Watanzania DMV waliofika kumpa pole na kumfariji kwenye msiba huu wa kuondokewa na mpendwa wake.
 Watanzania wakijumuika pamoja na wafiwa nyumbani kwa marehemu Sabastian Thomas wakijaribu kuimba pamoja nao nyimbo za dini.
 Wakina mama wakiendelea kuimba nyimbo za dini na kuwafariji wafiwa
 Kwaya ikiendelea
 Ruth(kati)akiwa miongoni mwa Watanzania waliofika kuwafariji wafiwa.
Wakina mama wakiimba na kuwafariji wafiwa

No comments: