Advertisements

Tuesday, August 16, 2011

8 BREAKER'S WACHUKUA KIKOMBE CHA POOL CHA DIVISION YASHINDA MECHI 4-1

 Final ya Pool ikiendelea vikali kwenye ukumbi wa Babe's Sports Bar & Grill kati ya 8 Breaker's inayoundwa na Watanzania na Paul Newman Fan Club.juu ni Vikombe vinavyoshindaniwa
Hivi ni vikombe vya Division ambavyo Timu yetu ya Watanzania,DC waliibuka kidedea Ushindi wa 4-1 na sasa watashiriki mashindano yanayoshirikisha mabingwa wa Division.
 Juu ni Seif wa 8 Breaker's akichuana vikali na Michael Adam wa Paul Newman Fan Club na Michael Adam alimshinda Seif kwa 5-1 na hii ilikua mechi ya kwanza,mechi ya pili Raju na Kelvin Lilly.
Raju alishinda 3-1

 Michael Adam akichuana vikali na Seif Kadria
 Kocha mchezaji Slim akipata Ukodak Moment
Pius Mtalemwa akifanya vitu vyake
Mechi hii ilikua ya kwanza Seif akichuana vikali na mpinzani wake

No comments: