Watanzania wenzangu Blogu ya Vijimambo si blogu ya uchochezi kama una habari yako ya uchochezi,kutukana mtu au chochote kile kinachofanana na hivyo nilivyovitajwa hapo juu hapa si mahali pake.
Blogu yetu itabaki kwa misingi ya kupashana habari,kuelimishana,burudani na michezo na si vinginevyo.
Asante
Dj Luke

1 comment:
Unajua nini kaka Luke jasili aachi hasili yake hio ndio asili ya wabongo wachache.
Post a Comment