Advertisements

Saturday, September 10, 2011

FRIDAY NIGHT JAM @ SESKA LOUNGE,UTAIPENDA

Wadau waliofika kwenye FRIDAY NIGHT JAM Seska Lounge ni Mkurugenzi wa Metro Tire Kessy(wapili kutoka kulia)ambaye amapata mgeni kutoka Bongo,Eva Sawaya(wa pili kutoka kushoto) wakipata Ukodak pamoja na Brita(kulia) wakiwa na Alice(shoto) hapa ni ndani ya Seska Lounge wakijaribu kupata vionjo vya Safari Club enzi zile
Wadau wakipata moja,moja ndani ya Seska Longe
Mwenye Jezi ya Basa ni Odhisi akiwa na wadau wenzake ndani ya Seska Lounge kwenye FRIDAY NIGHT JAM yenye vionjo vya Safaro Club enzi hizo na hii ni kila Ijumaa Luke Music Factory itakua inamwaga radhi ikisaidiana na Vijimambo Ukodak,kilichobaki ni wewe kufanya full kujiachia na ukisikia njaa usisahau Mama Safari  na vionjo vya Safari Enzi hizo yupo kwa ajili yako
Kila Ijumaa FRIDAY NIGHT JAM no Cover Charge Plus East African Food kutoka kwa Mama Safari
KARIBU SANA JISIKIE UPO NYUMBANI

No comments: