Saturday, September 3, 2011

GQ HOLLYWOOD swagga,LABOR DAY WEEKEND,WASHINGTON,DC

 DMK na Dj Fire wakifanya vitu nyao kwenye Club ya Taste Lounge
 
DMK akiwa na Mwaijande wakipata menu
 Mh.Catherine Magige(shoto) akiwa na mwenyeji wake,Loveness Mamuya(kati) wote kwa pamoja wakipata picha na Carol Mfanga walipokua VIP
 Poromota Peter Ligate(mwenye shati la drafti),Eric(wa kwanza kulia) wakipata Ukodak Moment na wadau wengine walikfika Taste Lounge
 Wadau wakiwa nao Club ya Taste Lounge katika matayarisho GQ HOLLYWOOD ambayo yatafanyika leo
 AJ UBAO(shoto) akiwa na Ahmed Kufakunoga(kati) wakipata Ukodak na Mdau Shedafa
Kutoka shoto ni Raju Tambwe,DMK,AJ Ubao na Shedafa
 Wadau wakipata Ukodak Moment wakati wakiwa Taste Longe
 Janeth akiwa ametulia akipata Ukodak moment
Julius Mnase(shoto) akiwa na DMK
 Wadau wakijimwayawaya Taste Lounge 
kwa picha zaidi Bofya Read More

 




No comments: