Juu na chini ni Kocha Mkongwe wa mchezo wa ngumi Nchini Habibu Kinyogoli'Masta' (kushoto) akimwelekeza jinsi ya kutupa masumbwi bondia, Issa Sewe wakati wa maoezi yanayorndelea ya kambi ya Ilala Sewe atapambana na Ramadhani Shauli mwishoni mwa mwezi ujao.(Picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com)
No comments:
Post a Comment