ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 14, 2011

LUCKY's FUNDRAISING

Salaams!
Lucky Ntiru's Fundraising on Sept. 17 2011 at 4pm.


Venue: At Joyce Mbaga Ogu's
3019 Sprucewood Dr.
Durham NC 27707
Tel # 919 323 6745



Nawakumbushia kwa wale mtakaoweza kuleta vitu/ kitu chochote tunachoweza kukiweka kwenye mnada/ kuuza siku hiyo kama part ya ku raise the money for the family, Please do so. Kama hautaweza kuja but unataka kutoa vitu au mchango you can still do that tafadhali tuwasiliane, either by mail or Phone.
Thanks,
Anna Simtaji
336 287 3291
Katibu UWTNC


CHAGUA PISHI/ MAPISHI TAFADHALI KAMA UTAWEZA KUSAIDIA:



Food ItemTray 1Tray 2
Nyama Roast au Choma
Kuku Choma au OvenJoyce MNnali M
Chicken Wings Nancy Anna S
Meatballs
Katles
Sambusa
Chapati    Joyce W
Maandazi
Vitumbua
Makalmati Fatma Basalam
Bajia Dr. Kurwa
Keki Dr.Andrea
Visheti
Plaintain
MihogoStella
KachumbariSally
Fruits
Fruits salad
 Teddy Tumbi
Eliza M

No comments: