Wachezaji wote wa Bongo Real FC mnataarifiwa Mazoezi yameanza rasmi jana Jumatatu Sept 12,2011 akizungumuza na Vijimambo kwa njia ya simu Kepteni wa Bongo Real,Ally Bambino amesema kua Wiki hii mazoezi yatakuwepo kila siku ispokua Jumamosi wahi mapema jua linazama mapema mazoezi yatafanyikiaMeadowbrook Park.
Upatapo taarifa hii mtaarifu mwenzio.
No comments:
Post a Comment